Hatari sana! Ukimuona mtu ala kunywa bia yake we muache wala hajidai wala sio kama anaringa, anajua mwenyewe alipo itoaWanaume tumeumbiwa mateso[emoji26][emoji26]View attachment 2482951
Mh! Komba anasubiri[emoji1787][emoji1787]
Kesha kusingizia umevuka na taa nyekundu ubungo flyover umemtia elf5 matokeo yake hayo sasa
Anamuingizia dawaMshana Jr niazime tunguli kwa muda nina kazi nazo malumuView attachment 2482961
Pale chini kibogoyo yupo mwaaaaBoth to score (GG)View attachment 2482967
Kale biaKwishaaaaaView attachment 2482972
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio usingizi huo[emoji1787][emoji1787] ghanja bhana
Nanihii pia zina warutubisha mzee
Huyu mbingu ataisikia kwnye mikutano ya injili[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maaninah
Ha! Hajayapasua kweli! Na huku nyuma vp!? Kunausalama!!? Sikunyingine ukiwa una chukua picha geuza simu uchuku kwa mtindo wa landscape sio unaisimamisha pumbav
[emoji1787][emoji1787] Africa ilikua ina watu wajeuri sana