McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Hahahaha! Dah! Unaweza ukajiondokea na ela ya kazi unayo dai ukaiacha![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kazi inakua kama adhabuHapo wameambiwa location sio yenyewe [emoji24]
Duh! Classfied! Huyu kuna anayo yajua! Kumbe lile shambulio lilitekelezwa na hawa jamaa!? Wanakuaga wajinga wajinga hata shabaha hawajui, na shehe ponda wakamkosa mchana kweupeee![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaumbukaga[emoji19][emoji19][emoji19]
View attachment 2483124
Adobe inatumiwa vibaya! Hizo ndongaBinti ana njaa kiasi kwamba wasamaria wema wanamlazimisha kula mahindi ya kuchoma dah! This is humanity [emoji122][emoji122]
View attachment 2483137
Ndio hutaki tena!
MarehemuWatu bana[emoji19]
View attachment 2483141
Haviishi.. ni endelevu 😁
🎯Samaki wa mapambo haliwi chifu. Wanapaswa kulijua hilo [emoji16][emoji16][emoji16]
Totally buuurned
Huyu atakuwa kafuga kitu kingine, siyo paka!
Duh..[emoji19][emoji19][emoji19]
View attachment 2483124