Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Matendo ya wanaume 12:5-8She is s beauty....
Wanaume wanakwama wapi kumuwowa...??!!
Au ameshawolewa...???!
Samaki wa mapambo haliwi chifu. Wanapaswa kulijua hilo [emoji16][emoji16][emoji16]Matendo ya wanaume 12:5-8
...kama pisi ni kali sana usioe kamwe. Tafuna hadi utosheke, halafu sepa upesi
Hamna cha dua wala nini wee pambana uolewe uachane na mijegeje ya kimasikhara 🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuambiaje bro wangu[emoji16]
Niombee dua[emoji1545]