Now she wants to settle down and start a family [emoji706]
Tumshukuru Mungu sana Mnyamwezi. Kila kitu kiko salamaAahahahahhahaaaa
Loooh....!
Haya bana acha nianze kushauri na kuwafunda waschana wa sasa wasizingue kama mie bibi yao hata nafika 60s niko singo...[emoji2].
Mwaka umeanza vyema kabisa, ashukuriwe Muumba.
Wewe je...?