antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,689
- 130,567
Kumbe hizo PhD wanazinunua Dubai!!!
Kumbe hizo PhD wanazinunua Dubai!!!
Kama kile chuo kilichompa King Msukus. Ni dola elfu 5 tu tunaanza kukuita Dr. Mshana. Walitaka pia kumpiga Bagonza akawatolea nje akawaambia kwamba yeye ana vyuo zaidi ya 10 vinavyotaka kumpa na vingine tuzo hiyo inakuja na bakshishi ya mpaka 20K....Kumbe hizo PhD wanazinunua Dubai!!!
Yamebeba zawadiSijawahi kuona nchi yo yote watalii wanakwenda na makontena yao. Tena kwenye midege mikubwa ya mizigo. Hii nchi bana. Mtalii aje na mkontena wa nini? Halafu akimaliza kuangalia wanyama huo mkontena anauacha wapi?
View attachment 2483262

Nyie watu wa TISS mnajua. Nchi yenu hiiYamebeba zawadi![]()
