Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Unaendeshaje tawi feki la benki? 

















Shakono mhola/chiza/shabuza sana bhageshiMhola nkoyi. Gīnehūkwene? Mulīmhola?
Wajinga sana hao jamaa. Yaani wanasubiri kwanza mpaka wafike kwenye vitengo nyeti ndiyo wanaanza mashambulizi. Niliwahi kumshuhudia mama mmoja pale Somanda akitoa nguo zote aisee bila kujali. Tena ukute yale makubwa yenye mdomo utafikiri mkasi mweh!

Dah..Mitandaoni humu 95% porojo. 4% ukweli nusu. 1% ndo ukweli halisi...
Ni kweli niko 76...na mayutongs ni fantasy za ujanani huko miaka ya 60 na 70 wakati damu ingali ikichemka!
Siku ukipita Rocky City tutafutane bageshi
View attachment 2469367
Hahaha..
Tunaowasemea sisi sio hao bwana.Unataka kusema Nini Sasa mwanamama ?
TDH 1st Class.
Hahaha...
😛 Ubaguzi huu mnataka apendwe na Nani Sasa.