Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20221230_175817.jpg
 
Nilihudhuria mkutano wa injili na mtu akanigusa bega kwa nyuma na kusema "UTATEMBEA"..sikujisumbua kwa sababu nilijua mimi sio kilema. Baada ya mkutano niligusa mifuko yangu na sikuweza kupata pochi yangu ambayo ilikuwa na nauli yangu. Na kweli!! NILITEMBEA!!
Aisee 🤣🤣
 
Back
Top Bottom