Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Nimeishi nao. Ni viumbe wapole sana. Ila ni muhimu utambue yupi mwenye sumu na yupi hana. Na uepuke wale wenye shari yaani mkionana tu mbichwa huo keshainua akudonoe. Na uwe na antidote tayari tayari yaani...Aisee mimi na nyoka ni opposite kabisa. Hata mtu aniambie hana sumu hapo akili lazima iwaze mawe na marungu tu


Na kama hutaki shari, tafuta kipande cha karatasi kilowanishe na mafuta ya taa halafu kichome moto. Haraka sana utamuona huyoo anatoka nje na kwenda zakeAisee mimi na nyoka ni opposite kabisa. Hata mtu aniambie hana sumu hapo akili lazima iwaze mawe na marungu tu
Kumslap baba chanja kalio lake
Amen, ukawe mwaka safi pia kwako.Nakutakia mwaka mpya (2023) wenye furaha, heri na mafanikio tele wewe pamoja na wapendwa wako![]()
