Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Trump😂😂
Hakuna watu wana Imani kama wanachadema. Hawa jamaa wana Imani ya kuhamisha milimaBila katiba mpya?
Bila tume huru ya uchaguzi?
Bila kufanya mikutano ya kisiasa?
[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2462354
Kabisa yaani...If I die I die...you slap it and watch it move in sloo moo! Those ole good days [emoji91][emoji91][emoji91]
Hujambo lakini?
Nakutakia mwaka mpya wenye heri na mafanikio. You are a good person na kamwe sitausahau wema wako. Ulinivusha kipindi kigumu sana. I am eternally grateful my friend and I will always pray for you and wish you the best wewe pamoja na familia yako. Ubarikiwe sana kimdabuo cha watu!
View attachment 2462555
Jirani...na alikuwa anapewa kweli! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Bora kumpa jirani kuliko kioze[emoji2094][emoji2094]
Jirani...na alikuwa anapewa kweli! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Akija hapa mi simo utapambana na hali yako mwenyewe
Kutishana tu[emoji35]
Napenda Sana hii,Watoto wa kishua, kizazi cha Oryx na Mihan hawawezi kuelewa hii vibeView attachment 2463073
Wanaume wa dar watainywa[emoji51][emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2463095