Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nakutakia mwaka mpya (2023) wenye furaha, heri na mafanikio tele wewe pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545]
Akienda kama anarudi na akirudi kama anaendaNi pale numerator inapokuwa kubwa kuliko denominator.
View attachment 2463050
Njaro moja hiyo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Akienda kama anarudi na akirudi kama anaenda
Huyu hana sumu. Unamshika tu huko kichwani unakwenda kumtupa nje. Ila uwe tu careful asije akakubana mbavu watu wakukute umetoa kimba umeRIPSasa hapa hatua ya kwanza ni ipi[emoji26][emoji26]View attachment 2463070
Halafu mhindi uliochomwa kwa gesi hauna vibe kabisa yaani.Watoto wa kishua, kizazi cha Oryx na Mihan hawawezi kuelewa hii vibeView attachment 2463073
Aisee mimi na nyoka ni opposite kabisa. Hata mtu aniambie hana sumu hapo akili lazima iwaze mawe na marungu tuHuyu hana sumu. Unamshika tu huko kichwani unakwenda kumtupa nje. Ila uwe tu careful asije akakubana mbavu watu wakukute umetoa kimba umeRIP