Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako


JamiiForums-44028808.jpg
 
Vijana, Wanawake wanataka wanaume wenye tamaa au mafanikio 90% yao! hata hivyo jambo la kuchekesha ni kwamba, wanalalamika unapoweka kazi mbele ili kufika huko, kwa sababu wanataka pia uwafurahishe na uwepo wako kwao.
Unachofanya na habari hii ni juu yako, lakini ielewe vizuri.
 
GHARAMA HALISI ZA DARAJA HILI.
Urefu wa mita 40.
1. Mbao 10 za 2x6 =100,000/
2.Mbao 60 za 2x2 =180,000/
3.Waya mita 80=2,000,000
4.misumari = 70,000/
5. ufundi =2,000,000/
JUMLA =4,350,000/-

Lakini SAMA katumia milion 74 mara 18 ya bei halisi. TUNAKOPA SANA TUNAJENGA SANA
Screenshots_2022-12-25-10-14-23.jpg
 
GHARAMA HALISI ZA DARAJA HILI.
Urefu wa mita 40.
1. Mbao 10 za 2x6 =100,000/
2.Mbao 60 za 2x2 =180,000/
3.Waya mita 80=2,000,000
4.misumari = 70,000/
5. ufundi =2,000,000/
JUMLA =4,350,000/-

Lakini SAMA katumia milion 74 mara 18 ya bei halisi. TUNAKOPA SANA TUNAJENGA SANAView attachment 2457443
IMG-20221223-WA0063.jpg
 
Back
Top Bottom