Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Mshikaji wangu sana huyo tunaelewana japo mara moja moja huwa ananiwashia moto



Mshikaji wangu sana huyo tunaelewana japo mara moja moja huwa ananiwashia moto



Sikukuu njema Mkinga wangu...


Shida ya kulala uchi hii
Na uzuri wote kaenda nao,dahToo much pressure on these "poor" celebrities
Jiwe mtoe hapo, hakuwa muongo ila alikuwaga anatoa makavu live bila kujali utalipokeajeIn the following order:-
(1) majolica
(2) jiwe
(3) hangaya
(4) semaji sigwa
(5) sipika
(6) January
(7) msukuma
(8) kibajaji
(9) nape
(10) shaka
🤣🤣🤣Shida ya kulala uchi hii
Wa kwangu ShimbaSikukuu njema Mkinga wangu...
Hao watoto ni wa kwako au wa nani?![]()


au lazima watoke tumboni mwangu ndio wawe wa kwangu?Nikiambiwa nichague kati ya pilau na hapa nachagua hapa bila hata kufikiria mara mbiliUmaskini sio mzuri aisee.
Siku kuu yote hii mimi ni wakula ugali na mtindi kweli?
Picha sio halisi ila uhalisi ndio nakula muda huu ugali View attachment 2457691
Alikuwa muongo sana tuJiwe mtoe hapo, hakuwa muongo ila alikuwaga anatoa makavu live bila kujali utalipokeaje
Sidhani kama uko seriousNikiambiwa nichague kati ya pilau na hapa nachagua hapa bila hata kufikiria mara mbili
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sure alikua muongo kwenye baadhi ya mambo lakini hakuna wakilinganishwa nae.
Daah!Nipo naye apa,hajui anaenda kusema niniView attachment 2457694
Mshikaji wangu sana huyo tunaelewana japo mara moja moja huwa ananiwashia moto![]()



migendelu,