Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1671733876249.jpg
 
SABABU FEI KUSEPA YANGA

Fei ameamua kujichomoa Yanga kutokana na kutotekelezwa kwa ishu yake ya kimasilahi ikiwamo ombi la ongezeko la mshahara anaolipwa.

Fei amewaeleza hana furaha kuona wachezaji kadhaa wa kigeni wakilipwa fedha nyingi, huku wakiwa wanaishia kukaa jukwaani tu
20221224_213107.jpg
 
SABABU FEI KUSEPA YANGA

Fei ameamua kujichomoa Yanga kutokana na kutotekelezwa kwa ishu yake ya kimasilahi ikiwamo ombi la ongezeko la mshahara anaolipwa.

Fei amewaeleza hana furaha kuona wachezaji kadhaa wa kigeni wakilipwa fedha nyingi, huku wakiwa wanaishia kukaa jukwaani tuView attachment 2457273
Bora katoka yanga,yanga wabaki na mayele wao nyamisifa
 
Back
Top Bottom