Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1671537799268.jpg
 
Wasabato hatunywi soda

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wasiokunywa ni wale wanamasalia ambao hawasuki hata nywele wala kuvaa aina yo yote ya urembo. Hawa ndo walitinga airport bila passport wala nauli....

Mimi ni Msabato lakini soda nazitandika na kile kinywaji kilichotengenezwa pale Kana ya Galilaya huwa nakipiga mara moja moja 😁😁😁
 
Back
Top Bottom