Binafsi hata nikikutana na mtu barabaran ananiomba hela, ni heri nikamnunulie juice take-away au niende nae mpaka mgahawani nimnunulie chakula cha 2000 kuliko kumpa hiyo coin. Maana nilikuja kushtukia wengi matapeli tu.Tena!
Tumemaliza majadiliano na Ujerumani, wameipatia Tanzania Msaada wa TZS 209,746,204,779.00 kwa ajili ya kusaidia masuala ya sekta ya Afya, Maji, Uwezeshaji wa wanawake,Ulinzi wa bioanuwai,kuzuia rushwa, mfumo wa Kidijitali,kuunganisha kaya na maji ya kunywa na usafi wa Mazingira.View attachment 2424678
Ni nani hawa[emoji849]The internet never forgets!
View attachment 2424738
Nani hawa?The internet never forgets!
View attachment 2424738
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2424145
Bahati mbaya nawe hauna akili.Mwanamke chura na sura akili tutatumia zangu
[emoji23][emoji23]Ndo utajua hujui [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2424437
Sawa mie wala sikatai hilo. Lakini pia wee huna chura🤣🤣🤣🤣Bahati mbaya nawe hauna akili.
Wee ulionaga wapi love bila sex? Ebu wacheni ujinga mwingi.Good morning View attachment 2424791
Chura sina ndiyo,nigawie na mie nifuge[emoji16] emoji16]Sawa mie wala sikatai hilo. Lakini pia wee huna chura[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hasa g,mboto unakutana na mtu anakuomba kaishiwa nauli na katokea tegeta na mwenyeji wake hapatikani kwenye simu[emoji16]Binafsi hata nikikutana na mtu barabaran ananiomba hela, ni heri nikamnunulie juice take-away au niende nae mpaka mgahawani nimnunulie chakula cha 2000 kuliko kumpa hiyo coin. Maana nilikuja kushtukia wengi matapeli tu.
Tanzania sio ya kuipa pesa tena, bora watupe wataalamu wao, vifaa na teknolojia zao hata kama ni za miaka ya 90 etc vije/waje kutusaidia huku.
Umefurahi mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bahati mbaya nawe hauna akili.
Ukorofi tu[emoji16]Umefurahi mwenyewe[emoji16][emoji16]
Hizo tricky tushaishtukia, na kuna wale wadada wanakuwa na mtoto wanajifanya wamepoteza nauli au mtoto anaumwa.. kuna wadada nilikutana nao pale maeneo ya victoria halafu siku chache baadae nikakutana nao tena, walivyoniona hata hawakunisemesha wakakaza mwendo[emoji23][emoji23][emoji23]Hasa g,mboto unakutana na mtu anakuomba kaishiwa nauli na katokea tegeta na mwenyeji wake hapatikani kwenye simu[emoji16]
Kariakoo gerezani matapeli kama wote,
Hiyo moment ukishika hivyo ni kama umekamata akili yangu yote[emoji16][emoji16]Ukorofi tu[emoji16]
Hao huwa siwapi hata 50, ni matapeli. Kuna baba hivi mara kibao nakutana nae anaomba nauli hadi anasahau watu anakuomba kwa mara ya pili, ya tatu na sababu ni zile zile hadi tushamkariri. Siku hizi nikimuona namtoa baru.Hizo tricky tushaishtukia, na kuna wale wadada wanakuwa na mtoto wanajifanya wamepoteza nauli au mtoto anaumwa.. kuna wadada nilikutana nao pale maeneo ya victoria halafu siku chache baadae nikakutana nao tena, walivyoniona hata hawakunisemesha wakakaza mwendo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni tu,nilisha sema sitoi[emoji16],Hizo tricky tushaishtukia, na kuna wale wadada wanakuwa na mtoto wanajifanya wamepoteza nauli au mtoto anaumwa.. kuna wadada nilikutana nao pale maeneo ya victoria halafu siku chache baadae nikakutana nao tena, walivyoniona hata hawakunisemesha wakakaza mwendo[emoji23][emoji23][emoji23]