Ladies, Mungu atusaidie [emoji23][emoji23]Imagine Kuna kabinti huko mtaani kana jitapa kuwa kana boyfriend wake na boy mwenyewe ndo kama huyu[emoji16][emoji16]View attachment 2379094View attachment 2379095
Hii ni zaidi ya joke
Wasomi sikuhizi hatupo competent mkuu.Hii ni zaidi ya joke
Unaweza itisha vijana hadi 100 waliomaliza shahada ya IT pale UD na usipate hata mmoja atakayejua kuna tatizo gani kwenye hii picha.
Hii ni kwa sababu hakuna much practicals kwenye elimu ya sasa
pacha wa anko mshana😎😎