Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,256
- 49,189
😂😂Hayanaga mwongozo 😁😁😁
😂😂Hayanaga mwongozo 😁😁😁
😂😂😂Mkuu..nimekosa Mimi,nimekosa Mimi,nimekosa Sana🙏
Sitarudia tena kumwita kyuti😄
Kweli eeh? Una namba yake?Ndiye anamiliki pia Lake Oil hapa kwetu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2378991
[emoji16][emoji16]View attachment 2378615
Kwisha kazi HAKUNA KUOA HAPA
Shimba ya Buyenze njoo usikie huku 😂😂😂Hadi leo hawajaja tu kutoa mahali?? Kalaghabaho 😅
Mpwa naiomba ile barua uliyomwandikia kama bado unayo. Kuna mtu anaihitaji hapa. Anataka niipeleke pamoja na kuku mweusi na maziwa ya kakakuona!Shimba ya Buyenze njoo usikie huku 😂😂😂
Madelu anakaba mpaka penati yaani. Kazi ipo!Serikali sikivu imewasikia.Na hili muende mkalitizame View attachment 2379117
Kwa roho nzuri ipi?Sio lazima wote tutesekeView attachment 2379116
😂😂😂😂 Mpwa kakakuona tutampata kweliMpwa naiomba ile barua uliyomwandikia kama bado unayo. Kuna mtu anaihitaji hapa. Anataka niipeleke pamoja na kuku mweusi na maziwa ya kakakuona!
Daktari hana chake! 💪💪💪
Kuna mama wa Kisomali hapa kasema hayo maziwa ya kakakuona anayo. Kesho ndo naenda kumuona. Vita ni vita mura ohoo!😂😂😂😂 Mpwa kakakuona tutampata kweli
Kosa la kiufundi.
Kweli ni kosa kubwaKosa la kiufundi.
Kwa nini ukalale kwa mkewa mtu?
Basi hapo lake oil hapafai kuomba kazi[emoji16]Ndiye anamiliki pia Lake Oil hapa kwetu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2378991
Kosa kwanza ni kutaka kulala na mke wa mtu. Wanawake sijui bilioni 4+ wote umekosa mpaka ukadandie mke wa mtu? Uboya wa kupindukia!Kweli ni kosa kubwa