Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

,
FB_IMG_16644010814753707.jpg
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Si ni chambo tu

Like serious mzabzab Shimba ya Buyenze Mshana Jr Taavid MK254

Zari The Boss Lady awe anamjua mkeo/demu wako akuwekee ule upaja ukitoka mzima we ni wa mbinguni moja kwa moja

Hilo jicho la Wema kwa Whozu...the way Whozu anarespond wana waliosomea CUBA washausoma mchezo

 
Back
Top Bottom