Tofauti yao ni kuwa yule ni mtumishi wa Mungu na huyu hata sijui ni mtumishi wa nani
Nimemchek pm nione kama naweza pata hiyo deal kumbe nishachelewa![]()
Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu, Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia...www.jamiiforums.com