Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,024
- 4,031
Sijaelewa... kwamba Sasha alikuwa ana mtoto kwa miaka hiyo au
Sijaelewa... kwamba Sasha alikuwa ana mtoto kwa miaka hiyo au
😁😁😁😁 Mambo ya kawaida tu hayo JKTSasa si ungeishia tu kusema ulimla!? Neno vichakani unataka kukazia nini hapa![]()






EwaaaaaahYeah...
Kwamba wadada wakienda matanuzi wanachangishana fedha kiwango sawa ili wakalewe
Lakini
Wakaka wakitaka kwenda club kulewa basi mmoja anashughulika na bili (fedha), mwingine atashughulikia usafiri na mwingine ataleta wanawake (mademu)




Jamaa anafaidi kweli
Talk about been born lucky...ben mungu akupe nini tena mwanawane
Aise hapa nimepata kamsemo kazuri kakumbwaga demu
Ukute ndio umekufa na kuoza KWA mtoto wa mtu hiyo jeuri unaitoa wapi?Aise hapa nimepata kamsemo kazuri kakumbwaga demu



Ujinga huo niliachaga baada ya kujua kuwa wanawake wachukulie kama chombo cha starehe. Wanawake hawapendeki kamwe.Ukute ndio umekufa na kuoza KWA mtoto wa mtu hiyo jeuri unaitoa wapi?![]()