Ninahofu ya Mungu kuliko unavyofikiri, usichukulie Kila kitu serious ndo maana Uzi huu unaitwa VITUKO MTANDAONI TUPIA CHA KWAKO. Tupo hapa kufurahi. Kama nimegusa sehemu ya maisha yako, am sorry si Mimi ni mtengeneza memesKwahiyo walemavu ndio omba omba?? Muogope MUNGU hujafa hujaumbika
[emoji28]mkuu vuta jiko achana na izo kitu..Nipo single na enjoyView attachment 2369278
Utakuwa wewe mdada unapenda kuomba omba pesa kwa wanaume ndo maana umekasirika. Hicho mnachokifanya ni kituko na huu ndo uzi wake.Kwahiyo walemavu ndio omba omba?? Muogope MUNGU hujafa hujaumbika
🤣🤣🤣🤣
Watu wenye bahati zao