Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa Wajapan wangekuwa huku Afrika wote wangekuwa wameshajichoma moto [emoji16]
Screenshot_20220921-100357_Telegram.jpg
 
Namba 3 mrija umezibwa kwa chini maji hayawezi kupenya. Kuwa makini Mkinga wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16] weee usinitanie rudi hapa. Mrija upi uliozibwa? Mimi ninachoona hapomirija ya kutoka ndio imezibwa, au niambie jibu hapo ni kikombe kipi
 
Back
Top Bottom