antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,687
- 130,561
Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu
Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA. Baada ya kuhamia DODOMA, imetokea suala la kuacha waume zetu Dar es Salaam au wake zetu Dar es Salaam kwakuwa...






