😁 we Acha tu hapa mtaani kuna mtu na mkewe wanashangaza,mwanaume anatembea na kibinti kimoja jirani halafu kakake na huyo binti anatembea na mke wa huyo jamaa.Kweli ila watu wamealibika sana yani vitoto vidogo vinabuluzwa hatari
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wewe sijui wanajisikieje yani watu wengine akili sijui ziko wapi[emoji16] we Acha tu hapa mtaani kuna mtu na mkewe wanashangaza,mwanaume anatembea na kibinti kimoja jirani halafu kakake na huyo binti anatembea na mke wa huyo jamaa.
Mwamba anakumbukwa kwa show ya kibabe 70+ minutes!Ivi kuna watu bado wanamkumbukaga huyu jamaa WA udom[emoji16][emoji75]View attachment 2363448
Jamaaa uyu connection zote za bongo hazijawai kufikia ya huyu[emoji16][emoji16][emoji38]Mwamba anakumbukwa kwa show ya kibabe 70+ minutes!
Alitrend sana enzi zile. Sijui yuko wapi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnawaza miharusi mikubwa tu show off ndo maana ndoa zinawashinda kmmk [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2363247
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Haya my country people twende sasa kwenye majibu tucheke[emoji116][emoji75][emoji16][emoji38]View attachment 2363465View attachment 2363467View attachment 2363468
Muone mzee msukuma[emoji23]Mwenye connection ya IFM wandewa[emoji4]
Mkuu Una mwanasheria wako???Mwenye connection ya IFM wandewa[emoji4]
Hata mimi hapa nafilisika tu tena kwa moyo mweupe kabisa na bila majungu. Hiyo supa dupa yutong siyo ya kawaida aisee. Halafu jeupe lainiii dah![emoji856]View attachment 2363397
🤣🤣