Aisee sikuwahi kugundua hiiView attachment 2344964
Paka yupo pembeni ya nguzo ya chuma yenye mfuniko kwa juu wa rangi nyeupe ambayo ni rangi sawa na paka hivyo kusababisha kutengeneza muonekano wa paka kuingiza hiyo nguzo mdomoni mwake.
Ishi nayo hiyoAisee sikuwahi kugundua hii
Sisi nyumbani lipo tunasagiaga ndalu
Haitokuja tokeaTecno wamechoka dharau zenu View attachment 2345282
Jinga weee[emoji23]Bebi haipitiView attachment 2345378
Ndalu ni nini mkuu?Sisi nyumbani lipo tunasagiaga ndalu
Ni mboga inapatikana Sana singida ndio mboga yetu kuuNdalu ni nini mkuu?
Inasagwa kwanza inatoka Kama unga unga Kama ivyoNdalu ni nini mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lejendi tu ndo tutaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Bebi haipitiView attachment 2345378
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupata mkuu. Kidogo inafanana mlenda uliopikwa kwa kuchanganywa na karanga na maziwa huku kwetu Misungwi UsukumaniNi mboga inapatikana Sana singida ndio mboga yetu kuu View attachment 2345420View attachment 2345421
Halafu ikitokea umekaa naye siti moja demu kama huyu ukikomaa naye unamla kirahisi tu [emoji16][emoji119]View attachment 2345423