Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220904_075608_065.jpg
 
Cathy

Fikiria unakutana na msichana club ambaye ulisoma naye zamani shule ya msingi. Jina lake ni Mage na wote mmelewa chakali. Mage anakuomba lift kuelekea nyumbani kwake na ni usiku wa manane. Kwa vile wote mnaishi uelekeo mmoja unakubali kumpatia lift hadi anakoishi.

Unamwambia akae siti ya mbele na unatoka kidogo kwenda kuchukua kinywaji 'take away'. Wakati umetoka Mage anamwona jirani yake ambaye naye alikuwa anatafuta usafiri wa kurudi nyumbani. Mage pasipo aibu anamwambia huyo jirani yake akae kwa gari siti ya nyuma ya gari.

Unaporudi unaendesha gari wala hujui kama kuna mtu mwingine zaidi yenu wawili na wala hata Mage hakwambii kitu kwa vile naye kalewa sana kwa hiyo chaneli hazishiki vizuri na usingizi nao umemwelemea.

Mara unamfikisha Mage anapoishi na unamsaidia kumfikisha kwake na kisha mnaagana na unaondoka kurudi kwako.
Kichwani huna habari yoyote kwamba kuna msichana Cathy yumo ndani ya gari siti ya nyuma na yuko hoi hajitambui na wala Mage hakukwambia chochote.

Unafika nyumbani na kuiweka gari yako parking na kwa vile umechoka unaenda moja kwa moja ndani na kulala.

Kesho yake kunapokucha na ni Jumapili wife wako anajiandaa kwenda kanisani na huwa analitumia gari hilo kwenda nalo. Mkeo anapofungua mlango wa gari majira kama ya saa 1 asubuhi ili awahi misa ya kwanza anakutana na sura ya kike, kajilaza kiti cha nyuma, kavua viatu, ana min skirt na kibaya zaidi msichana hajavaa nguo za ndani na kila kitu kiko wazi.

Kwa kutumia graph eleza namna ambavyo utamshawishi mkeo aamnini kwamba huna uhusiano na Cathy na wala hata humtambui kabisa. (Alama 60)

Unaruhusiwa kutumia calculator pamoja na Four Figure.

Time: 24 hours...
IMG_20220904_164502_666.JPG
 
Back
Top Bottom