Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Umenikumbusha mbali sana
Wacha wee...huna kazi ya kufanya?
Nawe kwa kujifanya mhenga hujambo 😁😁😁Umenikumbusha mbali sana
Watu mlioko Daslama mnadhani hayo mawe yalitumika old stone age [emoji16][emoji16] wakati mama yangu hadi leo analoNawe kwa kujifanya mhenga hujambo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira zote kumbe tatizo luku
Wewe tozo hazikuumizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira zote kumbe tatizo luku
Mimi hata sijui bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kukicha namshukuru Mungu, siku ikiisha napumzisha fuvu yaani niponipo tu kama msukuleWewe tozo hazikuumizi?