Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Dooh🙄Mzab njoo utoe ushauri huku. Kuna mtu yuko addicted [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2337521View attachment 2337522
Kama kasalimiwa yeye vile kione kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo hisia zake hadi raha, unajiona mwamba fulani
☹☹mbona hana 🍆IPhone 14 inatafutwa hapo View attachment 2337188
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] sio kweli. Makahaba wanaliwa kwa sababu wana hisia na wateja wao? Utaniambia wapo kazini lakini mimi nitakuambia huo ni uthibitisho kuwa mwanamke anaweza kuliwa na mwanaume huyu na huku moyo wake unampenda mtu mwingine. Hata mwanamke anaweza kuliwa nje na heshima kwa mumewe ikabaki, ingekuwa ni hivyo basi wanawake wote wanaochepuka wangekuwa wanakamatwa maana hiyo dalili iko wazi. Lakini unaweza kuishi na mwanamke mkazaa watoto wa nne nusu wakawa damu yako nusu wa nje na ukakaa miaka mingi usijue.Mfumo dume mamake. Sisi huwa tunachukulia kama ni haki yetu yaani....
Halafu unajua? Sisi tunaongozwa na nyege tu ndo maana tunaweza kula mbususu huko nje na upendo kwa waifu ukawa uko pale pale. Kwenu nyinyi ni tofauti. Nyinyi mnaongozwa na hisia. Ukianza kuliwa huko nje ukakolea hisia zote zinahamia huko. Dharau na kukosa heshima kunaanza ndani ya nyumba. Hata mume kuipata hiyo mbususu inakuwa ni kwa ratiba...ndo maana huwa tunapewa usia na babu zetu kuwa "ogopa sana mke wako akianza kuliwa nje". Yaweza kuwa ndiyo mwanzo wa wewe mume kuondolewa duniani maana nyie mkipewa mapenzi makali huko nje mnatekwa jumla hata mkiambiwa tumuue mumeo ili tutanue vizuri mnakubali tu....
Yote kwa yote cheating siyo nzuri kwa pande zote na mkianza kuchitiana kusema kweli inakuwa haina maana tena!
View attachment 2336747
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mom na married daughter wanaongea nini au ndio kusengenya waume zao