Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Gym huko Naijeria
IMG_20220827_122653_024.jpg
IMG_20220827_122648_000.jpg
 
Lakini Cha ajabu, nyinyi wanaume. Atatoka hapo amefura Kama puto. Kama vile mwanamke ndo mwenye kosa Sana
Mfumo dume mamake. Sisi huwa tunachukulia kama ni haki yetu yaani....

Halafu unajua? Sisi tunaongozwa na nyege tu ndo maana tunaweza kula mbususu huko nje na upendo kwa waifu ukawa uko pale pale. Kwenu nyinyi ni tofauti. Nyinyi mnaongozwa na hisia. Ukianza kuliwa huko nje ukakolea hisia zote zinahamia huko. Dharau na kukosa heshima kunaanza ndani ya nyumba. Hata mume kuipata hiyo mbususu inakuwa ni kwa ratiba...ndo maana huwa tunapewa usia na babu zetu kuwa "ogopa sana mke wako akianza kuliwa nje". Yaweza kuwa ndiyo mwanzo wa wewe mume kuondolewa duniani maana nyie mkipewa mapenzi makali huko nje mnatekwa jumla hata mkiambiwa tumuue mumeo ili tutanue vizuri mnakubali tu....

Yote kwa yote cheating siyo nzuri kwa pande zote na mkianza kuchitiana kusema kweli inakuwa haina maana tena!
MIchepuko%20Kutoka%20Rahatupu.Blog.jpg
 
Back
Top Bottom