Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

sio kweli. Makahaba wanaliwa kwa sababu wana hisia na wateja wao? Utaniambia wapo kazini lakini mimi nitakuambia huo ni uthibitisho kuwa mwanamke anaweza kuliwa na mwanaume huyu na huku moyo wake unampenda mtu mwingine. Hata mwanamke anaweza kuliwa nje na heshima kwa mumewe ikabaki, ingekuwa ni hivyo basi wanawake wote wanaochepuka wangekuwa wanakamatwa maana hiyo dalili iko wazi. Lakini unaweza kuishi na mwanamke mkazaa watoto wa nne nusu wakawa damu yako nusu wa nje na ukakaa miaka mingi usijue.
Maelezo yote hayo sio kwamba nataka kuonyesha nani fundi wa kuchepuka zaidi ya mwenzie, point yangu ni kwamba kuchepuka ni jambo la kipumbavu haijalishi linatendwa na mwanaume au mwanamke...yeyote anayechepuka anamvunjia heshima mwenza wake period!
Niko sahihi....

Uko sahihi....

Tunaongea katika mawanda tofauti tu.....

Mwanamke ni kiumbe wa hisia ndiyo. This is a scientific fact; na mpaka akalalwe huko nje (kama siyo kahaba) mara nyingi anakuwa na hisia na msela. Na ukitombewa mkeo huna chako hata kama bado anajifanya kukuheshimu lakini deep down atakuwa anakudharau sana; na atakuwa na wewe tu kwa sababu zinginezo labda watoto na ishu zingine za kijamii na kimaisha. Na huu utopolo upo tu huku kwetu. Kwa wenzetu huko wanakojua nini maana ya kuwa couple mara nyingi matokeo ya kucheat ni divorce tu hakuna cha msalie mtume...

Mimi uki-cheat jitahidi sana nisijue. Nikijua tu ni divorce moja kwa moja hata kama tuna watoto mia!
 
Hilo lipo kwa pande zote, hata mwanaume akimcheat mkewe anamdharau, ndio maana wengine wanatelekeza hadi familia wanazamia mchepukoni
 
mcinika___wa___lamar~p~Chu_ClUMveA~1.jpg
 
Back
Top Bottom