Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

JamiiForums668487472.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kweli kbsa ukiwa na hela nyingi ukibakiwa na 10000 ndyo unawza si nilikuwa na laki mimi [emoji119][emoji119][emoji119]
Yan unakuta umepiga mishe zako umepata pesa baada ya week imekata unabaki kujiuliza umeishaje[emoji16][emoji16]
 
Dw wana maana View attachment 2335337gani
embu tutafakar ktk uhalsia
Makato (tozo) unayokutana nayo benki unatamani bora ungehifadhi pesa zako kwenye kibubu tu...
WAKATI
Aliyeamua kutokuhifadhi fedha zake benki nae anakumbana na makato ya hatari katika matumizi yake ya kila siku mpaka anaona ni bora angeweka benki tu
 
Back
Top Bottom