🤣🤣🤣🤣 Hawa wetu utasikia dear nikwambie kituWanawake mjifunze kitu View attachment 2335685
Dah naitafuta video ya huyu jamaa, niliona mtandaon then nikasahau nilipoiona ili niipakue
Multi talented guyImportant peopleView attachment 2335859

Kumbe kuna video kabisaDah naitafuta video ya huyu jamaa, niliona mtandaon then nikasahau nilipoiona ili niipakue

Bonge moja la video mzee wangu, kuna app flan inaitwa Phoenix Kuna videos huko Ndo niliiona Sasa nataka nifanye mpango wa kuipakua mara siioni tenaKumbe kuna video kabisa![]()