Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mlevi na Mlokole..​

MLOKOLEI; “Unakunywa bia!?
MLEVI; “Ndio.
MLOKOLEI; “Kwa siku unakunywa bia ngapi!?

MLEVI; “Nakunywa bia tano!
MLOKOLEI; “Bia moja bei gani!?
MLEVU; “2500/
MLOKOLEI; “Ulianza lini kunywa bia!?
MLEVI; “Miaka 18 iliyopita!

MLOKOLEI; “Kwa hiyo kwa siku unatumia zaidi ya 10,000??
MLEVI; “Ndio!
MLOKOLEI; “Kama ungekuwa unatunza hiyo pesa 10,000 kwa siku leo hii si ungekuwa na Range Rover!?
MLEVI; “Samahani, naweza kukuuliza swali!?
MLOKOLEI; “Uliza!
MLEVI; “Unakunywa bia!?
MLOKOLEI; “Hapana!
MLEVI; “Nionyeshe Range Rover lako!
MLOKOLEI akasepa upesi..
 
Waache wafungie waone HIMARS zimepaki gheto .... Aliskika mstate tokea Kigogo.
FB_IMG_16607139150813255.jpg
 
Back
Top Bottom