Dah nimecheka sanaKUNA WATU HUKO HATA VIDONDA VYA KWA MPALANGE HATA HAVIJAPONA! View attachment 2327373
Sasa huyu almepigaje picha najalibu ku-imagine kama watu walikua wanapita njia hiyo ilikuaje hayo macho ya watu
Dada mzuri sana uyu ila ndo ivo tena aliipenda hiyo kaz