Lazima ukatafute kitanzi tuu hapo
Akitaka kuvua
Dem naye ni mjingaMajanga ! [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Dada Huyu ameenda saloon akiwa na mpenzi wake, gharama za kutengeneza nywele zikawa ni kubwa Sana ila mwanadada hakujali akajiweka kwa hairdresser ,
jamaa kuona hivyo akaaga Kuwa anatoka kidogo atarudi demu aendelee kutengenezwa nywele. Kumbe jamaa ndio alisepa moja kwa moja hakurudi tena.
Muda kuona unapita jamaa hapokei simu demu kachanganyikiwa, hairdresser akachukuwa mkasi na kufumua kichwa cha huyo mrembo Kama anavyoonekana ![emoji13][emoji13][emoji13]
Vijana Mungu anawaona[emoji23]
Wanaume tunaroho mbaya sana, kama unajua kua hauna hela unampelekaje mtoto wa watu saloon?
Angalia huyo msusi anavokata izo nywele, yaani kamuacha na kipara[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]View attachment 2293927

Bila shaka itakuwa na kile kidude kama kifungo kwa pale chini [emoji16]Akitaka kuvua
Sema I'm not going [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]ukiangalia ten commandments hakuna ambayo umeachaSema I'm not going [emoji16][emoji16]
Haipo [emoji16][emoji16][emoji16]ukiangalia ten commandments hakuna ambayo umeacha