[emoji2440][emoji2440]Likely Delibolo (in Mzab's voice) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuchapiwa ni siri ya ndani[emoji41]Akirudi kupasha kiporo ndo utajua nani mjinga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2292302
Kama kibuti cha mtoto[emoji16][emoji16]
Kweli hatuna magari, lakini vigari vingine jau sana [emoji16][emoji16][emoji16] bora niendelee kutembea kwa miguu kuliko kuaibika na hiko kidude kwenye foleni. Hapo hata wanyonge wenzangu wenye IST wananicheka.
Wewe cha utundu hua unanitupia lawana zote mimi kwa hasira kali sana... hahahahaNimecheka hadi nimejiziba mdomo maana sio kwa sauti niliyocheka nayo..
😄😄😄 tabia zako ni mbaya sanaWewe cha utundu hua unanitupia lawana zote mimi kwa hasira kali sana... hahahaha
Unaweza ukakabeba[emoji1]Kweli hatuna magari, lakini vigari vingine jau sana [emoji16][emoji16][emoji16] bora niendelee kutembea kwa miguu kuliko kuaibika na hiko kidude kwenye foleni. Hapo hata wanyonge wenzangu wenye IST wananicheka.
Embu ninyoshe kidogo...😄😄😄 tabia zako ni mbaya sana