myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,134
🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2297992
Mwanae anaifinyia kwa ndani 😂🤣
Wazee wa kitonga kwao ni fursa hiyo 😂🤣
mlinzi kashindwa kujizuia?😁😁
Ushapasahau pale nilikupelekaga[emoji57]Wapi??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji2]wooii
[emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]nili assume labda jamaa yeye na bibie ake wote wana jezi za yanga, so jamaa alivyotoka hiyo siku akakurupuka kuvaa jezi bila kuangalia!Mwanza nela hapo [emoji16][emoji16]
Kweli kabisa.Ukipata anayejielewa ni raha sana. Wengine ukimfanyia haya anakuona msumbufu tu. Yeye anataka mazawadi makuuubwaaa...kumbe vitu vidogo vidogo na matendo ya upendo ndo hasa huimarisha mahusiano...
Uwanja wa fujo[emoji3064]Ushapasahau pale nilikupelekaga[emoji57]