Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,937
- 124,026
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana nimesema ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kutafuta suluhisho ikashindikana. Hata watu wanaopendana sana leo kesho wanaweza kuachana si ndio?Sasa hapo unakuwa unamkomoa nani? Na unaweza kumfanyia hivyo mtu ambaye kweli ulikuwa unadai kufa na kupona kuwa unampenda? Atakuwa amekutendea kosa gani kubwa mpaka ufikie hatua hii mbali na cheating labda [emoji16][emoji16]
View attachment 2298016