Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20220720-105350_Instagram.jpg
 
Me....

Hii siku ya nne nimeblokiwa na sioni dalili za kufunguliwa. Ingekuwa ni mimi hata nusu saa isingefika....Halafu mnavyolalamika sasa na kutuona sisi wanaume ndo wabaya [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi siwezi kubloku mtu, hatua ya kubloku ni ya mwisho kabisa mtu akiona nimefika huko asijisumbue hata kunisalimia akiniona
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi siwezi kubloku mtu, hatua ya kubloku ni ya mwisho kabisa mtu akiona nimefika huko asijisumbue hata kunisalimia akiniona
Sasa hapo unakuwa unamkomoa nani? Na unaweza kumfanyia hivyo mtu ambaye kweli ulikuwa unadai kufa na kupona kuwa unampenda? Atakuwa amekutendea kosa gani kubwa mpaka ufikie hatua hii mbali na cheating labda [emoji16][emoji16]
Screenshot_20220618-092507_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom