Kah! Me si nikajua mawe, au ndo umeamua kufanya vituko?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkinga mmoja mchawi kaweka.mbegu zake na muheshimiwa anaziatamia.. makofi matatu kwa wakinga wachawi
[emoji16][emoji16] Shimba ya Buyenze mpuuze huyuMkinga mmoja mchawi kaweka.mbegu zake na muheshimiwa anaziatamia.. makofi matatu kwa wakinga wachawi
Nimejikuta naikumbuka movie ya Devil's Kingdom yake Steven C Kanumba. Kajala alimuendesha sana brother K