Mifupa hiyo, yee anakula vitu vigumu, lazima kimba liwe gumu
Agiza nyagi ya baridi sanaa na barafu juuNeno la leoView attachment 2287916
Ngada aka bwimbwi
Wakinga mnajuana wenyewe na mauchawi yenu maana mnatuhumiwa kila kona. Mpaka kumpata Jojo wa watu mmetumia uchawi?



Kajishika kichwani kwa ajili ya utamu ama? Maana hawa bodaboda akili zao wanazijua wenyewe tu. Hapo yawezekana akawa anakula mzigo!








