Mixer kumpachikia pale kwenye chupi

nimecheka kama falaAiseeeMapya yaibuka! Kanisa la nchini S.Africa lafanya zoezi la kuwapima bikira waumini wa kike ambao bado hawajaolewa kisha kutoa vyeti kwa waliokutwa na bikira zao
Kanisa hilo linaloitwa Nazareth Baptist Church lililopo huko Durban limefanya zoezi hilo wiki hii. Zoezi limefanyika kwa waumini wa kike wenye miaka kuanzia 18 kuendelea ambao bado kuolewa.
Ambao wamekutwa na bikira zao wamepewa vyeti kuonesha pongezi. Ukicha cheti pia wamewekewa alama nyeupe utosini kuonesha usafi wa kujiweka mbali na ngono kabla ya ndoa. Ambao hawajakutwa na bikira hawajapewa vyeti hivyo vya ushindi
Vyeti vimesainiwa na mkuu wa kanisa pamoja na mtaalam aliyefanya zoezi husika
Zoezi hilo la kupima bikira hufanyika kwa mwaka Mara moja, hufanyika kila katikati ya mwaka lakini Kama mdada amepewa cheti cha kuwa bikira, mwakani cheti hicho kita-expire ikiwa atapimwa tena na kuonekana tayari hayupo kwenye kundi la mabikira kama mwanzo
Waliopewa vyeti wakiwa bikira waliondoka kwa vicheko na furaha wakati waliokosa vyeti waliondoka na minuno kama yote
#swali je walipimwa zote?View attachment 2287237View attachment 2287238View attachment 2287239

Kah! Me si nikajua mawe, au ndo umeamua kufanya vituko?Kam upo dar vingunguti karib ndo tumemaliza kuchinjaaa minyamaa ipo ya kutoshaa...View attachment 2287080
Kwa hiyo wamechunguliwa?Mapya yaibuka! Kanisa la nchini S.Africa lafanya zoezi la kuwapima bikira waumini wa kike ambao bado hawajaolewa kisha kutoa vyeti kwa waliokutwa na bikira zao
Kanisa hilo linaloitwa Nazareth Baptist Church lililopo huko Durban limefanya zoezi hilo wiki hii. Zoezi limefanyika kwa waumini wa kike wenye miaka kuanzia 18 kuendelea ambao bado kuolewa.
Ambao wamekutwa na bikira zao wamepewa vyeti kuonesha pongezi. Ukicha cheti pia wamewekewa alama nyeupe utosini kuonesha usafi wa kujiweka mbali na ngono kabla ya ndoa. Ambao hawajakutwa na bikira hawajapewa vyeti hivyo vya ushindi
Vyeti vimesainiwa na mkuu wa kanisa pamoja na mtaalam aliyefanya zoezi husika
Zoezi hilo la kupima bikira hufanyika kwa mwaka Mara moja, hufanyika kila katikati ya mwaka lakini Kama mdada amepewa cheti cha kuwa bikira, mwakani cheti hicho kita-expire ikiwa atapimwa tena na kuonekana tayari hayupo kwenye kundi la mabikira kama mwanzo
Waliopewa vyeti wakiwa bikira waliondoka kwa vicheko na furaha wakati waliokosa vyeti waliondoka na minuno kama yote
#swali je walipimwa zote?View attachment 2287237View attachment 2287238View attachment 2287239
Nitadaiwa kama laki na kitu hivi