Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mnawakumbuka watu wa namna hii
FB_IMG_4363672948546953733.jpg
 
Mnawakumbuka watu wa namna hiiView attachment 2284455
Kipindi tupo advance tulikuwa na jamaa jembe kweli kweli, wakati sie tuko mbele tunavizia yeye huku nyuma yuko peke ake anakaba labda na mwingine mmoja au wawili tu wakimsaidia jamaa alikuwa na nguvu kama hawafu!! Nakumbuka tulikuja kufungwa fainali kwa mbinde tukawa washindi wa pili.
Mwamba kuna siku hakuja shule tulimfata na boda mpaka nyumbani kwao tukaelekezwa yupo mbali tukamfata hukohuko aje aokoe jahazi
 
Back
Top Bottom