Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

keshakuwa mume wangu Mshana Jr uwe shahidi nimeshapewa mume mie. Ila seriously mkuu mimi nadhani una ishu personal na huyu bwana maana kama ni hapa kwenye uzi nipo siku zote sijawahi kuona anamvunjia mtu heshima kwa makusudi. Kama kuna mahali alikukwaza ungesema tu kwa lugha nyepesi matusi hayana tija
Huyu atasumbua mkimpa nafasi maana naona anatukana kila mtu. Tupa kwenye ignore list na maisha yanaendelea.
 
Uyole hapa bana!
FB_IMG_16572720626187476.jpg
 
Back
Top Bottom