Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,965
- 124,081
Hizi memes zinazosema nobody ni kama nazielewa halafu kama sizielewi fulani hivi
Hizi memes zinazosema nobody ni kama nazielewa halafu kama sizielewi fulani hivi
[emoji23][emoji23][emoji23]Wadada na ndoa
Wadada wakiwa na miaka 25 kushuka chini wanataka kuolewa na wanaume wenye Mercedes, Vogue, V8, Bmw, ....
Akifikisha miaka 30 bado holaa, anataka chochote kinachounguruma, hata kama ni tumbo[emoji23][emoji23][emoji28]
Huelewi nini [emoji16]Hizi memes zinazosema nobody ni kama nazielewa halafu kama sizielewi fulani hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kukaa pembeni Katu,kaa pembeni mke wa mshana jr
cha ajabu wewe ndiye unayeteseka tangia kwenye grupu lile la jamaa yule. Basi endelea tu kukomaa GRAC
unajitahidi mwenyewe lakini wapi mzeiya saikolojia yako chalii. Acha shobo zako za kisukuma hazifanyi kazi, hazijawahi kufanya kazi na hazitafanya kazi maisha yako yote. Na inaonyesha una kila dalili za kuwa wewe ni mgonjwa wa A. Mwanasaikolojia idiot
Just click the ignore button, please?Mwajuma mbona unamambo ya ajabu sana,
ACHA WIVU[emoji108]
Anataka ale kwanza kabla hajala? [emoji16]