Mambo yetu haya bro
Kabisa mkuuMambo yetu haya bro
Very stressful..
😂 😂 😂Baba Kilaza:
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap?
Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini, maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo…
Hahaha..
Aisee!!
Anaondokaaaaa!!!!
Senzi typeAkili mtu wangu, akiliiiii !!!
View attachment 2282084
View attachment 2282086
View attachment 2282085