Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,995
- 35,440
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Na nyie hamkataagi yaani dah! [emoji51][emoji51]Atakuwa alihonga akiwa amelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuwache [emoji51][emoji51][emoji706][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji16][emoji16][emoji16] nikatae pesa we ulisikia wapi...!Na nyie hamkataagi yaani dah! [emoji51][emoji51]
Dah!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukajipatia gate pass kiulainii. Kama muujiza yani ukapona kipondoDah!
Kuna siku home kulikuwa na ujenzi basi mi nikatoroka siku nzima niko mtoni na masela. Nilikuwa najua jioni home kutakuwa na kibano hatari na nilikuwa nimeshajiandaa kisaikolojia. Bahati nzuri jioni jioni hivi wakaja jamaa wawili hivi wana majani ya miti yamepomdwa pondwa wakaweka kwenye maji. Mara samaki wakaanza kutapatapa na kuruka. Basi tukaanza kuwakamata kila mtu kwa juhudi zake.
Nilikamata samaki wakubwa kibao mpaka wakawa wananielemea. Nilipofika home aisee nilipokelewa kishujaa sana hakuna kibano wala nini samaki wakakaushwa na tuliwala karibu wiki nzima.
Gate pass muhimu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
Good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
#BeautifulChildhood
We acha tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukajipatia gate pass kiulainii. Kama muujiza yani ukapona kipondo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huyo ni nani?Mkuu unaniona mi wa hovyo kuliko mzabzab [emoji16][emoji16]
Huyo ni multi talented guy[emoji16]Kwani huyo ni nani?
@Mzab atakuwa ndo kuni ya sisi kuchomewa. Huyo ni level nyingine aiseeMkuu unaniona mi wa hovyo kuliko mzabzab [emoji16][emoji16]
Basi mkuu usiniite kijana wa hovyo, hiyo ni title ya mzabzab[emoji16][emoji16]@Mzab atakuwa ndo kuni ya sisi kuchomewa. Huyo ni level nyingine aisee
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]