SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,967
- 75,037
Eti huyo ndiye Kibwana Shomari au pacha wake
Eti huyo ndiye Kibwana Shomari au pacha wake
Unapiga chini fasta
Aiseee,nayeye ni used 😀
Haina shida acha aolewe maana ndiyo fungu alilochagua,hawa vijana wa saizi wamepoteza mwelekeo kabisaKuna shida mahaliView attachment 2282298
Nilijaribu kutumia Tigo, Airtel na Hallotel nikashindwa na kuzitupa,ila Vodacom hawajawahi kuniamgusha
Sara mwenyewe sasaKiPOFU:
Sara anatoka kuoga bafuni akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,
Kufungua mlango akakuta ni jirani yake Frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa.
Sara kavua ile kanga, akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua Frank hamuoni na mazungumzo yakawa yanaendelea..
Sara: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA, YAANI HUONEKANI SIKU KiBAO..?
FRANK: AH, NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO, NASHUKURU YAMEPONA, SASA HIVI NAONA VIZURI KABISAAA!…"