McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Style iliyotumika kuingia mchuzi ndio style itakayotumika kumuacha hapo [emoji23]Ulikuwa umetoka kwenda kula na kujaribu kutumia meno kukata kipande cha nyama ngumu lakini kitoweo kiliishia kunyunyizia fulana nyeupe ya huyu jamaa aliyekaa mbele yako bila yeye kujua. Kuwa mkweli utafanya nini? [emoji848]View attachment 2281806
Pengine tunarogwa bila kujua!Kama kwenye Maisha yako haujawahi kurogwa mshukuru sana Mungu.View attachment 2257114View attachment 2257115