Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1657087004829.jpg
 
SUMU​

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.
Ajabu ni kuwa aliporudi kutoka kazini alikuta house boy amekufa..
Alipoulizwa akang'aka:
Msiniulize amekufaje. Mie mambo ya umbea sipendi, niliondoka zangu mapemaaa kwenda kazini!!😅😅😅😅
 
SUMU​

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake.
Ajabu ni kuwa aliporudi kutoka kazini alikuta house boy amekufa..
Alipoulizwa akang'aka:
Msiniulize amekufaje. Mie mambo ya umbea sipendi, niliondoka zangu mapemaaa kwenda kazini!!
Alikufa hivi
FB_IMG_1657087152644.jpg
 
Back
Top Bottom